Wednesday, 16 July 2014

KWA MARA NYINGINE TENA CHRISTINA SHUSHO AINGIA KWENYE AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS PAMOJA NA ROSE MUHANDO

Christina shusho ameingia kwenye tuzo hizi kama mwimbaji wa mwaka kutoka Afrika Mashariki,Pamoja na Solomon Mkubwa ambaye anajulikana kama ni mwimbaji toka Tanzania.Rose Muhando kaingia pia kama Female Artist of the year

AGMA 2014


Artiste of the Year East Africa


1. Eunice Njeri (Kenya)

2. Christina Shusho (Tanzania)
3. Jimmy Gait (Kenya)
4. Bahati (Kenya)
5. Julie Mutesasira(Uganda)
6. Jackie Senyonjo (Uganda)
7. ELIAS GEMECHU (Ethiopia)
8. Solomon Mkubwa (Tanzania)
9. Meskerem Getu (Ethiopia)
10. Sarah K.(Kenya)
11. Gloria Muliro



Female Artiste of the Year

Ntokozo Mbambo (South Africa)
Vicky Vilakazi (South Africa)


Masego Motswiri (Bostwana)
Nikki Laoye (Nigeria)
Julie Mutesasira (Uganda)
Isabella(UK)
Gloria Muliro (Kenya)
Kanvee Gaines-Adams(Liberia)
Sarah K.(Kenya)
Diana Hamilton (UK)
Winnie Mashaba (South Africa)
Rose Muhando(Tanzania)
Ibitayo Jeje (Nigeria)
Nene Soul Diva(Nigeria)
Funke Akinokun (France)



No comments:

Post a Comment