Wednesday, 16 July 2014

GAZUKO AINGIA KWENYE AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS 2014

Huyu ni Kijana anayefanya vizuri kwenye anga la muziki wa injili kwa sasa kupitia aina ya muziki wake anaoufanya wa kipekee maarufu kwa jina la gospel hip hop.

Gazuko kapata Nafasi ya kuingia kwenye tuzo hizi kubwa barani afrika za injili akishindana na wakali kama MOG toka Netherlands,Gaise toka Nigeria,Lyrical Soldier (UK) na wengine wengi



Washiriki ni hawa

AGMA 2014:
Afro Rap Artiste of the Year
1. MOG (Netherlands)
2. SI Unit(Ghana)
3. Cjay (South Africa)
4. Pompi (Zambia)
5. VKP (Kenya)
6. Kris Eeh Baba (Kenya)
7. Gaise (Nigeria)
8. Provabs (Nigeria)
9. Andrew Bello (UK)
10. Lyrical Soldier (UK)
11. Royal Priesthood (Ghana)
12. Dolly P(UK)
13. X-Caliber (Botswana)
14. Gazuko (Tanzania)
15. Preachers(Ghana)

No comments:

Post a Comment