Tuesday, 10 December 2013

UNAIKUMBUKA ILE MOVIE YA JESUS?,NA ILE YA THE PASSION OF CHRIST?.SASA KUNA HII MPYA KABISA INAYOTARAJIWA KUACHIWA HIVI KARIBUNI,INAITWA THE SON OF GOD

Hii ni filamu mpya inayotarajiwa kuachiwa 28/02/2014.inaelezea maisha ya Yesu kwa ujumla tokea kuzaliwa kwake,mafundisho yake,mateso yake na kufufuka kwa Yesu.."the son of God.

Wahusika wakuu wa filamu hii ni   Diogo Morgado ambae ameigiza kama Yesu kristo,
 Roma Downey ambae ameigiza kama Petro na Darwin Sha ambae ameigiza kama Bikira Mariam.
Hebu tazama hili teller la hii filamu.

No comments:

Post a Comment