Tuesday, 10 December 2013

MPYA NA KALI TOKA KWA SARA K,PAMOJA NA PICHA YA BAADHI YA ALBAM ALIZO WAHI KUFANYA

Huu ni wimbo ambao umegusa maisha ya watu wengi sana na kuacha shuhuda nyingi katika maisha yao,wimbo unaitwa "hakuna silaha"hebu usikilize hapa.huku ukitazama cover picha za albam zake.
umewahi isikia hii albam?


Na hii ikawa ni remix yake.

unaikumbuka hii?

Akipokea tuzo

Hii najua unaifahamu sana.

Unanionaje?


utazame huu wimbo hapa

No comments:

Post a Comment