Tuesday, 10 December 2013

UMEWAHI KUMUONA PROPHET TB JOSHUA AKICHEKA NAMNA HII

Ukiona mtu mzima anacheka namna hii ujue kuna jambo,hii ni Baada ya mtoto toka kameruni aliyekuja na mzazi wake kuombewa  kumfurahisha sana Nabii tb joshua.Hebu tazama hii video umuone mwenyewe

No comments:

Post a Comment