Tuesday, 31 December 2013

2014 TOKA UTUKUFU HADI UTUKUFU

Yawezekana mwaka 2013 kwa wengi ulikuwa ni mwaka wa changamoto nyingi na kwa wengine ulikuwa ni mwaka wa mafanikio mengi sana,lakini katika mwaka 2014 unakuwa ni mwaka wa utukufu mkubwa sana kwa kila mmoja wetu,Bila kujali upo katika hali gani sasa.
 
Hebu msikilize sinach hapo anakwambia from glory to glory.

No comments:

Post a Comment