Wednesday, 17 December 2014

"BRAND NEW SONG"' WIMBO BORA WA KRISMASI TOKA NCHINI KENYA

Ni wimbo ambao umeimbwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili nchini kenya kama vile Gloria Murilo,Mercy masika,Mercy wairegi,Kambua ,Pitson,Man Ingwe na Wengineo.Huu wimbo usiruhusu ukupite,pata mda wako kuutazama hapa chini

No comments:

Post a Comment