Sunday, 9 November 2014

KUWA WA KWANZA KUTAZAMA WIMBO MPYA WA MARION SHAKO "TUNAKUABUDU"

Wengi mtakuwa mnamkubuka Marion shako hasa kwenye nyimbo zake kama 'Ahadi zake'pamoja na 'Adonai' Wimbo umetengenezwa Eagles Films ukiongozwa na Ken Herman


No comments:

Post a Comment