Friday, 2 May 2014

NI TRIPLE J PLUS NA HAPPY BIRTHDAY YA MWENZAO

Ni watoto wa pastor Dr Abel Damina wa Power city int  Na KLN TV Nigeria,Ni waimbaji wa Nyimbo za Injili na ni wanandugu wa damu.Leo walikuwa na mda mzuri wa kusherekea happy birthday ya Mwenzao Jemima.Majina yao Jeiel,Jesimiel na Jemima kwa pamoja unapata Triple J.Hiki ndicho walichosema.
('Hip Hip Hooray! Our leader is a year stronger, wiser, glorious and more than a conqueror!Happy birthday Jemima!)  Tazama baadhi ya nyimbo zao ktk link http://www.youtube.com/watch?v=0xijw4KDoyM nahttp://www.youtube.com/watch?v=qtR-wnsuoNo

BABA NA MAMA

NDANI YA POWER CITY INTER


PASTOR DR ABEL DAMINA
UNATUONAJE?
NA HAPA JE?
NI FURAHA TU

No comments:

Post a Comment