Saturday 3 May 2014

MAJINA MAPYA YA WASHIRIKI GROOVE AWARDS 2014,ROSE MUHANDO NA CHRISTINA SHUSHO WAWAKILISHA TANZANIA

Lile shindano la Groove Awards limetangaza rasmi majina mapya ya washiriki kwa mwaka 2014 huko Nairobi’s Aboretum .shindano linahusisha MaDJ,Watangazaji,Makundi ya gospel, waimbaji binafsi na wengine.Shindano linatazamiwa kufanyika tarehe 03/06/2014 likibeba ujumbe ‘Let Your Light Shine’. Kula zinaendelea kupigwa kwa njia ya sms na kupitia groove awards website.wapenzi na mashabiki mnaombwa kuendelea kupigia kula na mwisho wa kupiga kula ni 31/05/2014,Tanzania imewakilishwa na Rose muhando na Christina Shusho.

    HAYA NDIYO MAJINA YA WASHIRIKI WOTE
    WASHIRIKI KWA MWAKA 2014 NI HAWA
    EASTERN & CENTRAL AFRICA ARTIST
    • Christina Shusho – Tanzania
    • David Kasika – Congo
    • Exodus – Uganda
    • Gaby Kwairizie – Rwanda
    • Rose Muhando – Tanzania
    • Solomon Mkubwa – Tanzania
    MALE ARTIST OF THE YEAR
    Bahati
    DkKwenye Beat
    Jimmy Gait
    Kris Eeh Baba
    Pitson
    Rufftone
    FEMALE ARTIST OF THE YEAR Eunice Njeri
    Gloria Muliro
    Janet Otieno
    Mercy D Lai
    Sarah K
    Size 8
    GROUP OF THE YEAR
    Adawnage
    BMF
    Christ Cycoz
    KeleleTakatifu
    Nicholas Harmonies
    S.O.C
    NEW ARTIST/ NEW GROUP OF THE YEAR
    Benachi
    Danny Gift
    DiddiKimer
    Grace Mwai
    Lady Bee
    LJayMasaai
    SONG OF THE YEARAsusu – DK Kwenye Beat
    LingalayaYesu – Pitson
    Machozi – Bahati
    Mateke – Size 8
    Msaidizi – Gloria Muliro
    NapokeaKwako – Janet Otieno feat. Christina Shusho
    WORSHIP SONG OF THE YEAR
    HakunaSilaha – Sarah K
    Holy God – Chomba
    Ni JuuYako – Frank
    NiumbienaRohoMtakatifu – Pastor Musembi
    Ulibeba – Eunice Njeri
    Uwepo – Mercylinah
    ALBUM OF THE YEAR
    Kirathimo – Grace Mwai
    Msaidizi – Gloria Muliro
    Nisamehe – Mercy D Lai
    Pacato – Pastor Musembi
    Silah – Sarah K
    Uwepo Wako – Mercylinah

    HIPHOP SONG OF THE YEAR
    Mede (Mapepo) – Kris Eeh Baba &Friends
    One Way – Sanka
    Rise and Shine – KeleleTakatifu feat Christ Cycoz
    Sir – EkoDydda
    Testimony – Kennedy Krezi
    Wannabe – Dee & Holy Dave
    VIDEO OF THE YEAR
    Asusu – DkKwenye Beat
    KaziyaMsalaba – Daddy Owen feat Danny Gift
    Machozi – Bahati
    Mateke – Size 8
    Sambaza – Alice Kamande
    Signature – Jimmy Gait
    COLLABO OF THE YEAR
    KaziyaMsalaba – Daddy Owen feat Danny Gift
    Laleiyo – LjayMasaai feat Shirowa GP
    Mungu Baba – Rufftone&GSU
    NapokeaKwako – Janet Otieno feat Christina Shusho
    Ngai Ti Mundu – Betty Bayo&Mr Seed
    Rise and Shine – KeleleTakatifu&Christ Cycoz
    RAGGA/ REGGAE SONG OF THE YEAR
    Addicted – JFAM
    Big God – Dafari
    Glorious – Guardian Angel feta Jay and Tahilla
    Live Up – Hope Kid
    Soldier – Mr. Vee
    Worship You – BMF feat Mercy Wairegi
    DANCE GROUP OF THE YEAR
    All Stars
    De tour
    Flamers
    Genje
    Gospel Warriors
    Tremors
    GOSPEL RADIO SHOW OF THE YEAR
    Gospel Sunday – Milele
    Gospel Switch – Truth FM
    Inuka – Hot96
    Mwamba Show – HBR
    Shangilia – Hope FM
    Tukuza – Radio Maisha
    GOSPEL TV SHOW OF THE YEAR
    Angaza – KBC
    Crossover 101 – NTV
    Gospel Sunday – CTV
    Password – NTV
    The Switch – K24
    Tukuza – KTN
    RADIO PRESENTER OF THE YEAR
    Allan T – HBR
    Amani Aila – Hope FM
    Anthony Ndiema – Radio Maisha
    Kambua – Hot96
    Lawrence Thuku – Truth FM
    SellyAmutabi – Tambira QFM
    DJ OF THE YEAR
    DJ GG
    DJ Krowbar
    DJ Mo
    DJ Sadic
    DJ Touch
    CENTRAL SONG OF THE YEAR
    Ahjuranja – ND Githuka
    Busy Busy – Betty Bayo
    Kirathimo – Grace Mwai
  1. NdikariaThithimoYene – WaweruKaranja
  2. Nyunguya Ngai – Shiruwa GP
  3. Queen – Loise Kim
EASTERN SONG OF THE YEAR
  1. AmaithaKanw’ai – Eunice Kyalo
  2. Kinyuriru – Ndilima
  3. Kitole – Stephen Kasolo
  4. Malovoto – PhylisMutisya
  5. MwakaMweu – Justus Mye 
WESTERN AFRICA ARTIST• Cwesi Oteng – Ghana
• Frank Edwards- Nigeria
• Izzy Beat – Nigeria
• Nathaniel Bassey – Nigeria
• Sinach – Nigeria
• Uche – Nigeria
SOUTHERN AFRICA ARTIST
• Abel Chungu – Zambia
• Benjamin Dube – South Africa
• Joyous Celebration – South Africa
• MAG 44 – Zambia
• Pompi – Zambia
• Solly Mahlangu – South Africa



No comments:

Post a Comment