Thursday, 24 April 2014

DAR ES SALAAM MPO TAYARIIIIIIIIIII

Ni ujio wa mwimbaji nyota wa nyimbo za injili Joseph Omo Ebhodaghe(JOE PRAIZE)
Joe praize atakuwa Dar kuanzia tarehe 25-27/04/2014 christ embassy Tanzania katika ukumbi wa
sunset-makonde(mbezi beach).

No comments:

Post a Comment