Friday, 28 March 2014

JAMANI HII NIMEITOA KWENYE PAGE YA FACEBOOK YA UPENDO NKONE

Bwana akikupa huduma na hasa ya uimbaji, jilinde saaana usishindane na waimbaji wengine. Wewe tumika kwa bidii ya kushindana na shetani, siyo watumishi wenzako. Kukosa maisha ya maombi kunaweza kukufikisha mahali ukakaukiwa na upako halafu utajikuta unaanza kushindana na watumishi wenzako. Mungu atusaidie sana.
upendo Nkone akiwa na upendo kilahilo

No comments:

Post a Comment